INAUZWA Kabati portable

INAUZWA Kabati portable

Fredy89

Member
Joined
Jun 28, 2012
Posts
96
Reaction score
102
Ni kabati ambayo unaweza kuhamisha kwa haraka pia ina uwezo wa kuhifadhi nguo nyingi.Hii ni maalum kwa wale wenye chumba kimoja kwa sababu haichukui nafasi kubwa.ukihitaj unaletewa popote ulipo na pia tuna tuna kwa wateja wa mikoani.Bei ni 75000
Contact 0717388265

c8800e8c722507a224d2e41ec72546d6.jpg
 
Naomba_kujua,malighafi_iliyotumika
Kulitengeneza!
 
Daaah nimelipenda,hili litanifaa japo sio la kudumu.
 
Ni zuri Sana. Nikilihitaji Ntakupigia. Na ukubwa upo hivyo hivyo unavyoonekana Au Ni pic tu
 
Back
Top Bottom