INAUZWA Kabati portable

INAUZWA Kabati portable

Naomba unitumie picha Whatsap halafu tufanye business nitumie picha tofauti tofauti kuna jambo nataka tulonge 0763772636 Whatsap only
 
Ni kabati ambayo unaweza kuhamisha kwa haraka pia ina uwezo wa kuhifadhi nguo nyingi.Hii ni maalum kwa wale wenye chumba kimoja kwa sababu haichukui nafasi kubwa.ukihitaj unaletewa popote ulipo na pia tuna tuna kwa wateja wa mikoani.Bei ni 75000
Contact 0717388265

c8800e8c722507a224d2e41ec72546d6.jpg
Nina hamsini mkuu.
 
Hapa kwenye mchoro liko vizuri.....ila ki uhalisia ukipanga vitu kama picha inavyoelekeza ni utadumu nalo kwa wiki kadhaa tu..
 
Ni kabati ambayo unaweza kuhamisha kwa haraka pia ina uwezo wa kuhifadhi nguo nyingi.Hii ni maalum kwa wale wenye chumba kimoja kwa sababu haichukui nafasi kubwa.ukihitaj unaletewa popote ulipo na pia tuna tuna kwa wateja wa mikoani.Bei ni 75000
Contact 0717388265

c8800e8c722507a224d2e41ec72546d6.jpg
Bado unazo hizi kabati
 
hahahaha hakuna kabati hapo hadi leo vyuma watoto wanachezea lilidumu mwezi mmoja tu.

jamaa yangu alijitahidi likakaa mwaka ila likaoza icho kitambaa chake.

Cha ajabu sasa mi kabla sijanunua niliwahi kuliona kwa mshkaji anatumia, tena alidumu nalo tu na alikuwa akihama chumba anapangua na kulipanga upya fresh tu.

Kilichonikuta mimi, kwanza ile kuliseti sijui kama nilipatia... na mbaya zaidi ilikuwa chumba cha watoto yaani kila siku linaporomoka! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahaha mie nilikuwa nikiweka mzigo naona unashuka nalo mara lipinde (bend) flan yaani balaa tupu
 
Back
Top Bottom