INAUZWA Kabati za chuma za kuwekea nguo zinauzwa

INAUZWA Kabati za chuma za kuwekea nguo zinauzwa

Ni imara na zinapendezesha nyumba
Zipo za rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree

Malipo mpaka upate mzigo wako
Milango 2 tsh 75,000
Milango 3 tsh 85,000

Mawasiliano; [HASHTAG]#0715523866[/HASHTAG] whatsp and call ..karibuni sana

View attachment 541357View attachment 541358View attachment 541359View attachment 541360View attachment 541361

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mkuu najitaji hiyo kabati ya kwanza ya purple kwa jili ya watoto, naweza ipata?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeipenda kweli. Nipo Unyamwezini.
Ila imani ya kutuma Pesa ndo shida, maana nishawahi kupigwa na hizi mambo za biashara ya mbali.

Sent from my Infinix HOT 3 using JamiiForums mobile app

Ulifanikiwa kununua hili kabati mkuu. Umedumu nalo muda gan. Natafuta kabati la nguo, bajeti yangu laki moja.
 
Hilo sio kabati la chuma ni kabati la turubai waambie wateja ukweli ina stend zake ndio za chuma na mwambie mteja kwmba unaweza kulifungua ukaliweka ktk bag ukasafili nalo ,ndugu yangu aliagiza kusha akamwachia pesa mkewe yeye amekwenda kazini ,aliporudi akasema angekuwepo asingenunua hata na hata mwaka haujafika limeharibikaaa kiufupi sio imara maana vile vibomba vyake vikikatika hauna pa kuvibadilisha na havichomeleeki maana lain sanaaaaa

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Ni imara na zinapendezesha nyumba
Zipo za rangi mbalimbali
Wateja wa dar unaletewa buree
Unafungiwa pia buree

Malipo mpaka upate mzigo wako
Milango 2 tsh 75,000
Milango 3 tsh 85,000

Mawasiliano; [HASHTAG]#0715523866[/HASHTAG] whatsp and call ..karibuni sana

View attachment 541357View attachment 541358View attachment 541359View attachment 541360View attachment 541361

Sent from my TECNO W5 Lite using JamiiForums mobile app
Mi nataka kununua hizo nguo za chuma
 
Back
Top Bottom