Kabayser kaonewa sana

Mac Malick aka Mac II B aka SIMBA (R.I.P)
Good....nashangaa sasa mtu kuja kusema kaibiwa jina wakati kuna watu wameanza litumia kitambo sana...asante kwa info
 
Watu huwa mnakuza jambo kuwa kuuuubwa na tatizo lenu kubwa ni kuushi Dar mkitegemea ipo siku maji ya bahari ya Hindi yatageuka pesa mgawane.
 
Simba kwani yeye ndo muanzilishi wa ilo jina kama msanii.? Ilo jina kaanza nalo afande sele so blue hakutakiwa kulalamika...kusu nyimbo ya freedom kaongea makochali kila kitu blue ndo kakosea ile kiitiko na beat vyote vya makochal
Nakumbuka kitambo sana, I think kabla ya Afande Selle, mwanangu mwenyewe Malik(RIP), a.k.a Mark IIB ndie wa kwanza kujiita Simba kwahiyo kugombea jina Simba ni utoto tu manake washajiita hilo jina kitambo!
 
Huyu huyu Jide wa Gadner!??...duuuh Interest yana ukweli haya?
Ila hii ya wimbo,mbona sio wimbo wake
Maneno ya watu, utawaweza Wabongo!!

Ukweli ni kwamba, kitambo sana Mr. Blue alikuwa VERY close na Jide... tena enzi hizo Blue bado alikuwa kavulana kadogo tu tena huku akiwa bado "mwanafunzi" wa sekondari hata kama shule kwenyewe alikuwa haendi!
 
Jide hapana ukaribu wa jide n blue n kuwa zaman gardner alikuwa ana msimamia mr blue enzi zile za ngoma yke km narudi
 
Maneno ya watu, utawaweza Wabongo!!

Ukweli ni kwamba, kitambo sana Mr. Blue alikuwa VERY close na Jide... tena enzi hizo Blue bado alikuwa kavulana kadogo tu tena huku akiwa bado "mwanafunzi" wa sekondari hata kama shule kwenyewe alikuwa haendi!
Alikuwa bwana mdogo sana.. Serengeti boy...Yes, wakafanya kolabo ya wimbo unaitwa 'Sema'.. Btw, hakuwa mdogo wa kushindwa kufanya 'hilo jambo' kumbuka...

Ni kweli Gadner alikuwa anamsimamia baada ya kumchukua kutoka kwa G-Lover. Na G ndiye alikuwa Said Fella wa zamani.. Ana siri nzito kuhusu hili..

Unakumbuka ishu ya Blue kufukuzwa usiku nyumbani kwa Gadner (akiwa amelewa) akaenda kulala kwa akina Abby Skillz badala ya kwao? Global waliwahi kuandika hii story japo kwa kuficha ficha..

Need I say more? ''Mbongo mie utaniweza''?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…