Baazigar
JF-Expert Member
- Aug 30, 2015
- 1,129
- 1,102
Good....nashangaa sasa mtu kuja kusema kaibiwa jina wakati kuna watu wameanza litumia kitambo sana...asante kwa infoMac Malick aka Mac II B aka SIMBA (R.I.P)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good....nashangaa sasa mtu kuja kusema kaibiwa jina wakati kuna watu wameanza litumia kitambo sana...asante kwa infoMac Malick aka Mac II B aka SIMBA (R.I.P)
Nakumbuka kitambo sana, I think kabla ya Afande Selle, mwanangu mwenyewe Malik(RIP), a.k.a Mark IIB ndie wa kwanza kujiita Simba kwahiyo kugombea jina Simba ni utoto tu manake washajiita hilo jina kitambo!Simba kwani yeye ndo muanzilishi wa ilo jina kama msanii.? Ilo jina kaanza nalo afande sele so blue hakutakiwa kulalamika...kusu nyimbo ya freedom kaongea makochali kila kitu blue ndo kakosea ile kiitiko na beat vyote vya makochal
Maneno ya watu, utawaweza Wabongo!!Huyu huyu Jide wa Gadner!??...duuuh Interest yana ukweli haya?
Ila hii ya wimbo,mbona sio wimbo wake
Jide hapana ukaribu wa jide n blue n kuwa zaman gardner alikuwa ana msimamia mr blue enzi zile za ngoma yke km narudiKaporwa mademu wengi tu.. Naj, Wema Sepetu, Jide (ndio, Jide Komando), na kadhalika. Kuna siku mpaka akamuuliza Diamond kwenye intavyuu flani hivi, ''Ndugu nimekukosea nini?''.
Anyway, Byser ni namba nyingine. Mungu amtie nguvu aachane na sakata la mheshimiwa. Mhe ni mzee wa fursa.
Alikuwa bwana mdogo sana.. Serengeti boy...Yes, wakafanya kolabo ya wimbo unaitwa 'Sema'.. Btw, hakuwa mdogo wa kushindwa kufanya 'hilo jambo' kumbuka...Maneno ya watu, utawaweza Wabongo!!
Ukweli ni kwamba, kitambo sana Mr. Blue alikuwa VERY close na Jide... tena enzi hizo Blue bado alikuwa kavulana kadogo tu tena huku akiwa bado "mwanafunzi" wa sekondari hata kama shule kwenyewe alikuwa haendi!