Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
 
Yes, it would have been a great risk, but I am sure that he, Kabendera is double sure that they are dead!
 
Ndio. Tusubiri tuone kama Azory na/au Ben wanarudi.
 
Aisee
 
Unajuaje hawajafa na wanaweza kurejea uraiani?
 
Mkuu kitu mpaka kinachapishwa kitabuni sio masihara unless unafanya spinning au kuna habari unataka kutwambia

Kwa sasa unaweza i quote chochote kwenye hicho kitabu na usihojiwe popote ..

Kwa Mujibu wa Kabendera, alikuwa na ushahidi wa kutosha kutoka source mbali mbali alikiwa anaongea mpaka na 'majenerali' wa jeshi wastaafu.

Lakini zaidi anasema ana wanasheria zaidi ya 20 wa ndani na nje ya nchi ambao wame approve kitabu kichapishwe na kiuzwa kwa matumizi ya Umma
 
 

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM
 
Sasa Kama Jiwe alimpiga mwanae wa kumzaa hadi kifo unategemea Azory na Saanane wawe hai ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…