Kabendera amechukua "risk" iliyopitiliza. Atawaambia nini watu endapo Ben Saanane au Azory Gwanda watarejea uraiani?

Hao wa kina beni saanane Kuna uwezekano mkubwa wakawa walishafariki lakini kufariki kwao siyo kama alivyosema huyu kabendera kuwa amepigwa risasi na magufuli.Siyo rahisi kiongozi wa Nchi(rais) kushuhudia kuua mtu mbele yake.Mimi naamini kabendera itakuwa kaamua kumchafua tu Kwa kuwa alifungwa kipindi chake.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Namsikiliza hapa, the guy is well informed. Anajua anachosema na alichoandika
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Msikilize Kabendera ujue ni MTU wa Aina gani, sio mwandishi Kanjanja

View: https://youtu.be/HfQqupIGlKM?si=q2HBcT3oL1M8oJ05
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Tofauti yako na Lucas Mwashambwa ni moja tu, wewe unafangasi ubongoni yeye ana ukurutu ubongoni
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
I tell you from vivid source .... Sjui kuhusu Ben but azori hatakuja kuonekana hapa dunian....
 
Sio hivyo tu naskia hata mkewe ashawahi kumbebesha kifusi cha mchanga.

Niliamini nchi hii TISS imekufa pale jiwe alivyoweza kuwa Rais. Tunaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu Watanzania
Nchi kurudi upya kama zamani ni ngumu sana. Maana hata mama naye anawajaza wavaa makobazi na kupendelea visiwani. Yaani kila tenda anawapa waarabu, kuanzia Serengeti, KIA mpaka Bandari na TISS wapo. Teuzi za ajabu mpaka unashangaa ? Magu aliwafanya binamu zake kina Biteko wawe na nguvu hadi akawapa Uwaziri. Mama amewaweka watoto wake na familia. Mara ya kwanza Tanzania mkwe kapewa uwaziri. Hata kikwete aliogopa kuweka ndugu japo alipendelea washikaji wake. Anaekuja ata-refer kwa rais aliyepita ni mwendo ule ule.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Ataita media ile ile aliyotumia na kuomba masamaha lakini pia ataomba radhi na kuandika kitabu kingine kwa Jina la Lies in the name of the President = memories of the jailed Journalist.
 
Erick Kabendera amejiamini sana kusema Ben Saanane na Azory Gwanda wamekufa, hapo ni kwamba ameweka biashara yake yote ya kitabu chake rehani, pia ameweka hadhi yake yote rehani.

Ikitokea Ben au Azory wamerejea uraiani biashara ya kitabu chake itakuwa imekufa rasmi na yeye atakuwa mtu muongo kuwahi kutokea Tanzania.
Siyo mpaka hao jamaa warejee, hata Sasa hivi ni muongo nambari moja Kwa upande wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom