Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba
Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika nyumbani kwake. Walipomkosa walitupa sumu ilioishia kuwaua mbwa wake
Mwanahabari Erick Kabendera alikiri mashtaka aliyotuhumiwa na kuomba msamaha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliridhia na alipoachiwa alitakiwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 172