Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

View attachment 1859334
Erick Kabendera, Muandishi ambaye aliakamatwa kwa tuhuma za uhujumu uchumi na kujihusisha na genge la uhalifu ambapo aliachiwa Februari 24, 2020 baada ya kukaa mahabusu kwa miezi saba

Akizungumza na BBC Swahili, Erick amesema aliponyeka majaribio mawili ya kuuawa ambapo moja lilifanyika nyumbani kwake. Walipomkosa walitupa sumu ilioishia kuwaua mbwa wake

Mwanahabari Erick Kabendera alikiri mashtaka aliyotuhumiwa na kuomba msamaha Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) aliridhia na alipoachiwa alitakiwa kulipa fidia ya Tsh. Milioni 172
Huyu mjinga ,ujinga wake ndio mshahara wake,sisi haitusaidii chochote ,wangapi wamekufa na nchi inasonga,sembuse wewe. Kwanza ni nani nchi hii.
 
hv mfano chadema mkiachana na vurugu za katiba mpya mnapungukiwa nini?
 
Huwezi kua mtawala bila kuondoa midomomidomo hata kama ungekua ni wewe ndio maana hata kwenye ndoa inafikia kipindi mmoja anamuondoa mwenzie.

Eti habari za uchunguzi...

Ulikua unachukunguza nini kima wewe?
 
Inatakiwa akajichek afya wasije wakawa walimuwekea sumu ya kuuwa taratibu.

Kuwakwepa wasiojulikana ukiwa jela usikubali kula chakula cha kuletewa, salama kula chakula wanachokula wafungwa wote, hiki ni ngumu kuwekwa sumu.
Yupo London kwa ajili ya matibabu na mapumziko kwa mwaka mmoja boss
 
Yupo London kwa ajili ya matibabu na mapumziko kwa mwaka mmoja boss
Tito magoti kilichomsaidia ni kutokula chakula cha kuletewa jela zaidi wangekutana kule na adui wake.
Wakiwa wanakusaka usikubali kula chakula cha kuletewa jela au mahabusu kula kile kinacholiwa na wafungwa wote.
 
Huyu mjinga ,ujinga wake ndio mshahara wake,sisi haitusaidii chochote ,wangapi wamekufa na nchi inasonga,sembuse wewe. Kwanza ni nani nchi hii.
Ke'n'ge wewe!!we mwenyewe una faida gani ktk hili taifa pungaa wewe
 
Back
Top Bottom