Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Maza kaufata ukatili nchi jirani,kaanza kutusomesha kwenye makato na tozo.Meko ni shetani sana.. daah.
yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.
kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba ..meko alikuwa ibilisi sana .. naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
Wale wauaji waliua sana watu visiwani. mama kaenda kuomba wajeda wengine watakuja 2025Maza kaufata ukatili nchi jirani,kaanza kutusomesha kwenye makato na tozo.
MiPango ya Mungu sio ya binadamu.Duuu aliewindwa yupo salama muwindaji ameshaoza na wengine wapo nyuma wanamfuata