Kabendera: Kulikuwa na majaribio mawili ya kuniua kabla ya kunikamata

Bashite lazima alikuwa mmoja wa wahusika.

Your browser is not able to display this video.

Meko ni shetani sana. Daah!

Yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.

Kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba meko alikuwa ibilisi sana naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
So alimuua mwenyewe kwa mkono wake?[emoji17][emoji17]
 
Ona hii sijui imeandika nin?,bado upo gizani unaabudu miungu ya waarabu na wazungu unajiona umemaliza
 
huwezi kua mtawala bila kuondoa midomomidomo hata kama ungekua ni wewe ndio maana hata kwenye ndoa inafikia kipindi mmoja anamuondoa mwenzie.

eti habari za uchunguzi...

ulikua unachukunguza nini kima wewe?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huwezi kua mtawala bila kuondoa midomomidomo hata kama ungekua ni wewe ndio maana hata kwenye ndoa inafikia kipindi mmoja anamuondoa mwenzie.

eti habari za uchunguzi...

ulikua unachukunguza nini kima wewe?
Mbona mamaako kakuuwawa na babako
 
Meko ni shetani sana. Daah!

Yaani huyu kafa kwa sababu ya albadiri na ukatili.

Kigogo anasema meko alimuua ben saanane kwa kumpiga shaba meko alikuwa ibilisi sana naona mama naye anaffuata nyayo, na sishangai kabisa its expected
Eti Kigogo anasema🤣🤣🤣
 
na bashite ndiye aliyepewa jukumu la kusimamia kila kitu.
wewe hujiulizi kuna kipindi bashite alipanda gari ya meko kutoka airport hadi magogoni. ushoga gani huo wa karibu na taasisi kubwa kama ile?
bashite ni mshauri wa uchumi? hapana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…