Kabila gani hawa: Uwoya, Pastor Myamba?

Kabila gani hawa: Uwoya, Pastor Myamba?

Wa Mjengoni

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2010
Posts
480
Reaction score
128
Mimi sio mbaguzi au mkabila ila kwa interest tu kwa kuwa nazimia kazi zao ma star hawa naomba nijue wana asili ya wapi hapa Tanzania yaani kabila zao.
 
Hao ni Watanzania, makabila ya nini unataka kutambika.?
 
Kwa hiyo umekaa na kutafakari ukaona uanzishe thread na wewe ukumbukwe kama member wa jf.
 
Back
Top Bottom