Steven kilave
Member
- Dec 2, 2015
- 14
- 13
Nimeanza kea kuuliza swali kwa maana namaanisha wakati wa kuongea Kiswahili kila mtu anarafudhi yake. Kwa mfano mwingine huongea Kiswahili kwa lafudhi ya Kichaga hadi unajua 'huyu ni mchaga', unajua kwa sababu ya lafudhi yake lakini kuna mwingine akiongea Kiswahili ile lafudhi yake inakuwa ni ya kuvutia sana kiasi kwamba unapenda aendelee kuongea tu, swali langu ni KABILA GANI ambalo wewe ndugu msomaji unapenda rafudhi yake?