Steven kilave
Member
- Dec 2, 2015
- 14
- 13
Kazi Ya Kabila Nini?Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri.tone ya matumaini!
Hahaha, wasukuma tena!Wasukuma wana lafudhi nzuri sana na tone nzuri.tone ya matumaini!
Dah! Kama ulikuwepo nimetoka jana huko kwa wadigo gari imetoka stendi ya zamani pale hadi chongoleani wale wamama wanapiga stori zao mm naenjoy tu ile lafudhi yao taaaaamu hakuna km wadigo na baadhi ya makabila ya pwani si yote, sisi wengine wa bara lafudhi zetu zinakera masikioni hatujui matamshi matokeo yake kila mmoja anamuona mwenzie mshamba!Wadigo
Mnataka kutududimiza zaidi...tuacheni tuna machungu jamani .tujifariji hata huku😭😭...the fall of Sukuma😭...nipe hata pole ya hela basi jamani....John jiran yangu🤗🤭Hahaha, wasukuma tena!
Sasa waha unawaweka wapi?Wasukuma ni kabila lenye lafudhi mbaya ya kuzungumza Kiswahili.