Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

Wandengereko na wazalamo hatukuangushi.

Binafs mimi hata kindengereko sijui kuongea, ni mwendo wa Kiswahili tu, tena kile fasaha kabisa.

Wanaoharibu Kiswahili ni watu walio kulia kijijini.

Unakuta jitu likiongea tu unalijua kua hili limetoka kitama ya kwanza.
 
Nimezungukwa na waha zaid..tena ni my besties haswaaa ..wamejazana huku balaa .sema hawapendi kbs kuoga
Hao wanaokuzunguka no Waha matozi was mjini, nakuhakikishia ukibahatika kumsikiliza Muha orijino haki hutajuta, wana lafudhi ya aina yake wakiongea kiswahili
 
Hao wanaokuzunguka no Waha matozi was mjini, nakuhakikishia ukibahatika kumsikiliza Muha orijino haki hutajuta, wana lafudhi ya aina yake wakiongea kiswahili
Mie sikipend...kizito mnooo..bora wasukuma
 
"Waja leo waondoka leo?".

Mara paap, nguo zinalowekwa kwenye beseni la maji.
 
Hahahahahahahahahahaa....mie i waa kidding .mie hata niumwe jino nikimiskia msukuma anatone yake lazima nicheke balaa🤣🤣..sasa dingi yangu ana tone kama jpm..tunachekaga balaa..ila waha mie nachokaga kuwasikikiza jaman
Bila shaka nawe unayo ya kisukuma
Tatizo unaongea na waha wa vijijini 😅
 
Mchaga, mmakonde, wahaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…