Kabila gani lina lafudhi nzuri ya Kiswahili Tanzania?

Niliwahi kusikia Wamanyema wa Ujiji na kule Tanga mjini, Lindi na Pwani ila siku hizi Watanzania wengi wanaongea Kiswahili chenye lafudhi nzuri sana ukiondoa wale walioshindikana kwenye β€œl” β€œr” β€œng’” na β€œng’”
 
Hakuna lafudhi nzuri au mbaya,ubaya au uzuri wa kafudhi unatokana na tafsiri ya msikilizaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…