Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,219 Reaction score 4,608 Oct 18, 2024 #1 Siri ya utajiri ni ubahili. Je tujifunze kuwa matajiri kwa kuiga mfano wa matajiri kutoka kabila gani? Waha Wapare Wambulu Wakinga Wandali Wagogo
Siri ya utajiri ni ubahili. Je tujifunze kuwa matajiri kwa kuiga mfano wa matajiri kutoka kabila gani? Waha Wapare Wambulu Wakinga Wandali Wagogo
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Oct 18, 2024 #2 Kuna kabila hapo wana roho ya ufukara, ubishi, ujuaji na kuona kila wakati wanaonewa na wanachukiwa na watu. Hadi wana makanisa yao, kabisa zima wanajaa wao tu.
Kuna kabila hapo wana roho ya ufukara, ubishi, ujuaji na kuona kila wakati wanaonewa na wanachukiwa na watu. Hadi wana makanisa yao, kabisa zima wanajaa wao tu.
TUKANA UONE JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 2,345 Reaction score 6,970 Oct 18, 2024 #3 UBAHILI NI TABIA YA MTU,SIYO KABILA!
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Oct 18, 2024 #4 TUKANA UONE said: UBAHILI NI TABIA YA MTU,SIYO KABILA! Click to expand... Social influence