Kabila gani linaongoza kwa ubahili nchini?

Kabila gani linaongoza kwa ubahili nchini?

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Siri ya utajiri ni ubahili. Je tujifunze kuwa matajiri kwa kuiga mfano wa matajiri kutoka kabila gani?
  • Waha
  • Wapare
  • Wambulu
  • Wakinga
  • Wandali
  • Wagogo
 
Kuna kabila hapo wana roho ya ufukara, ubishi, ujuaji na kuona kila wakati wanaonewa na wanachukiwa na watu.

Hadi wana makanisa yao, kabisa zima wanajaa wao tu.
 
Back
Top Bottom