U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 Sep 12, 2024 #1 Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni
Afcon 2027 JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 309 Reaction score 579 Sep 12, 2024 #2 Wadigo😅😅
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 7,755 Reaction score 11,737 Sep 12, 2024 #3 Uzalendo wa Kitanzania said: Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni Click to expand... Wadigo na wabondei
Uzalendo wa Kitanzania said: Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni Click to expand... Wadigo na wabondei
Inside10 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 29,909 Reaction score 32,414 Sep 12, 2024 #4 Uzalendo wa Kitanzania said: Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni Click to expand... Achana na hao mambo ni kwa WADIGO
Uzalendo wa Kitanzania said: Kabila gani mkoani Tanga wapo vizuri zaidi usomaji kitabu? Wadau hamjamboni nyote? Nauliza kwa Mkoa wa Tanga wasambaa na wazigua wapi wapo vizuri zaidi kwenye usomaji kitabu? Aksanteni Click to expand... Achana na hao mambo ni kwa WADIGO
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 8,589 Reaction score 16,936 Sep 12, 2024 #5 Wote tu wachawi kunoma
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,143 Reaction score 4,462 Sep 12, 2024 #6 Kusoma vitabu? umenimalizia mb zangu Mimi pia ni MDIGO. kusoma sijui KUSOMA najua
C Conquistador JF-Expert Member Joined Jun 10, 2024 Posts 1,435 Reaction score 3,463 Sep 12, 2024 #7 Wapare
N nabiidaniel JF-Expert Member Joined Feb 25, 2014 Posts 1,937 Reaction score 2,678 Sep 12, 2024 #8 Kuna kabila la waafrika Wenye bidii kusoma vitabu? Au unamaanisha kuangalia movie za kikolea Kwenye usafiri wowote basi, treni, meli n.k umewahi kuona mwafrica kashika kitabu, nenda beach yoyote kuna kijeba yeyote kashika kitabu?
Kuna kabila la waafrika Wenye bidii kusoma vitabu? Au unamaanisha kuangalia movie za kikolea Kwenye usafiri wowote basi, treni, meli n.k umewahi kuona mwafrica kashika kitabu, nenda beach yoyote kuna kijeba yeyote kashika kitabu?