Sumbalawinyo
JF-Expert Member
- Sep 22, 2009
- 1,282
- 248
Wachagga, Wasukuma, Wakurya au?
Tujadili pombe za makabila mbalimbali na stimu zake
Tujadili pombe za makabila mbalimbali na stimu zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachagga, Wasukuma, Wakurya au?
Tujadili pombe za makabila mbalimbali na stimu zake
Wamakuwa, Wangoni na wanyakyusa.
sukuma hoyeeeeeeeeer!!!!!"!"
U mean Sukuma ndo walevi sana..?
yeah tunajifahamu kwa hiyo makitu!!
Hawa wanapenda sana kuchungulia walipotoka
sukuma hoyeeeeeeeeer!!!!!"!"
yeah tunajifahamu kwa hiyo makitu!!
Wachagga, Siku unazaliwa lazima upewe kijiko kimoja cha mbege. Usisahau na mama mzazi anapewa mbege nyiiiiingi ili maziwa yatoke kwa wingi.
Changanya na zako utapata jibu mtoto anapokuwa mkubwa inakuwaje.
Ndio maana
Wa wapi Ngudu?
Acha zako basi musukuma na pombe wap na wap?
Hakuna Raia wanaohusudu damu ya MENDE kama Wachagga
kwa INTRO tu viwanda karibia vyote vya POMBE wakurugenzi watendaji ni WACHAGA...