Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

Kabila gani wanahusudu pombe zaidi?

kumbe daddy... nilikuwa namsingizia my hezbend kuwa wasukuma ni walevi.... am tho thorry my huz.. @C6....

hahaha huyo wamuonea tu...wachagga ni mafundi wa kusuuza koromeo kwa ndyofu na noah
 
Ngoja Wahaya waje wawasikie mkisahau kuwataja na rubisi yao. Akina Ruta.. Koku.. Mganyizi mpoo?
 
wapare wao ni ubahiri tu.
Leo nimemkuta mmoja anakula Ugali na Muwa...
 
niliwasahau na watani zangu Wanyalukolo...wao mtoto akilia anapigwa ulanzi tena mkangafu
 
nyie mtasema but % 80 ya mauzo ya bia ni mikoa ya kaskazini, kuna mpaka kipindi kampuni za bia zilitaka kufunga bomba na meter kwenye bar maarufu jinsi bia zilivyokua zinanyweka, lol.
 
mmefanya research lakini? au hata mimi naweza kutaja kabila lolote? mi nijuavyo warangi ndio kiboko ya njia
 
Kabila yangu pombe tumeipa. Jina baya, "uchi"
Na ukitambulika kuwa wewe ni mnywaji, kwenye vikao vya wazee huruhusiwi kutoa maoni !
 
Back
Top Bottom