Kabila la wagogo halipo, lilibuniwa tu!

Kabila la wagogo halipo, lilibuniwa tu!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,817
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna kabila la Wasukuma Wachaga au Wanyamwezi yote haya yalibuniwa tu na Wageni!
(wikipedia)

,,Their name was invented sometime in the 19th century by the
Nyamwezi caravans passing through the area while it was still frontier territory
. Richard Francis Burton claimed a very small population for it, saying only that a person could walk for two weeks and find only scattered Tembes. There was and remains the problem of inadequate rain for crops and humans, the rainy season being short and erratic with frequent drought. In the 18th century the Wagogo were mostly pioneer colonists from Unyamwesi and Uhehe, and are often confused with the Sandawe and the Kaguru. Half the ruling group came from Uhehe. They had a long tradition of hunting and gathering, allowing the Wanyamwezi to carry the ivory to the coast, but had become agriculturalists with cattle by 1890. They continued, however, to have a low regard for working the land and are said to have treated their agricultural slaves badly"

Hahaha wagogo duniani hawapo ahera/peponi hawajafika
WapoWapo Tu!!
Labda vingunguti na mnazi mmoja!!
 
Usiiamini sana wikipedia,maana mtu yeyote anaweza ku edit habari.Mimi niliedit habari ya utalii afrika mashariki,nikaisifia sana Tanzania baada ya kuona kenya inajipendelea kwa vyanzo vya utalii wakati sisi Tz tunaizidi.
 
Kwahiyo unataka kusema Le Mutuz sio mtanzania au?
Una hatari wewe.
 
Usiiamini sana wikipedia,maana mtu yeyote anaweza ku edit habari.Mimi niliedit habari ya utalii afrika mashariki,nikaisifia sana Tanzania baada ya kuona kenya inajipendelea kwa vyanzo vya utalii wakati sisi Tz tunaizidi.

Hongera zako mkuu!
 
ukweli ni kwamba wagogo walitawaliwa nz wahehe kwz kiasi kikubwa, ndo huko utawakuta wahehe kama kina simbachawene yule waziri, wahehe na wagogo wanaitana mashemeji kwa namna walivyoingiliana, ikumbukwe kuwa mkwawa aliziteka kabila nyingi tu na kuziweka kwenye himaya yake mija wapo wakiwa wagogo, wabena, wasangu hadi wasafwa....
 
Ruttashobolwa. ..eti ni kweli kabila la babu "le big tshirt" lilibuniwa na wakoloni?
 
Last edited by a moderator:
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna kabila la Wasukuma Wachaga au Wanyamwezi yote haya yalibuniwa tu na Wageni!
(wikipedia)

,,Their name was invented sometime in the 19th century by the
Nyamwezi caravans passing through the area while it was still frontier territory
. Richard Francis Burton claimed a very small population for it, saying only that a person could walk for two weeks and find only scattered Tembes. There was and remains the problem of inadequate rain for crops and humans, the rainy season being short and erratic with frequent drought. In the 18th century the Wagogo were mostly pioneer colonists from Unyamwesi and Uhehe, and are often confused with the Sandawe and the Kaguru. Half the ruling group came from Uhehe. They had a long tradition of hunting and gathering, allowing the Wanyamwezi to carry the ivory to the coast, but had become agriculturalists with cattle by 1890. They continued, however, to have a low regard for working the land and are said to have treated their agricultural slaves badly"

Na ile lugha yao waliibuni wakoloni?
 
Katika makabila yenye asili ya kweli tanganyika ni wagogo.watafiti wa machimbuko ya makabila wame bainisha hilo .sasa ukibisha we mbishi!
 
msitake kutuzingua hapa,jina la kabila linakuja kutokana na asili ya kitu fulani,mfano "dar-es-salaam" Lina Asili Yake,halafu Mleta Mada We Ni Msukuma?Mmepunguza Kula Sana?
 
Gweeeeesi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sawia mkuu, haya ndo madhara ya kudhalilishwa. Wanatuambia tamaduni, imani, bestruri, tabia, lugha zetu ni za kishenzi na tunakubaliana nao. Pamoja na wasomi tuliokuwa nao lakini wanashindwa (labda wanazuiliwa) kutafiti na kuziandika lugha zetu (Tanganyika).
 
msitake kutuzingua hapa,jina la kabila linakuja kutokana na asili ya kitu fulani,mfano "dar-es-salaam" Lina Asili Yake,halafu Mleta Mada We Ni Msukuma?Mmepunguza Kula Sana?
Kaona aibu kuwataja Waingereza kuwa ndo walilibuni kabila hilo maana hawa jamaa zetu kila kitu duniani hapa kizuri kina mkono wao.
 
Wikipedia
Historia ya hili linaloitwa Kabila la wagogo halipo na kwamba lilibuniwa tu na Wakoloni" Habari kamaili ipo hapo chini, kwa hiyo kwa kifupi hakuna kitu kama Kabila la Wagogo kama ilivyo hakuna kabila la Wasukuma Wachaga au Wanyamwezi yote haya yalibuniwa tu na Wageni!
(wikipedia)

,,Their name was invented sometime in the 19th century by the
Nyamwezi caravans passing through the area while it was still frontier territory
. Richard Francis Burton claimed a very small population for it, saying only that a person could walk for two weeks and find only scattered Tembes. There was and remains the problem of inadequate rain for crops and humans, the rainy season being short and erratic with frequent drought. In the 18th century the Wagogo were mostly pioneer colonists from Unyamwesi and Uhehe, and are often confused with the Sandawe and the Kaguru. Half the ruling group came from Uhehe. They had a long tradition of hunting and gathering, allowing the Wanyamwezi to carry the ivory to the coast, but had become agriculturalists with cattle by 1890. They continued, however, to have a low regard for working the land and are said to have treated their agricultural slaves badly"

Wikipedia sio acceptable source, hata wewe unaweza kutupia na kubadili chochote mle.

Vv
 
Back
Top Bottom