GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,286
- 6,736
Sijui kwanini watu kama ninyi hamuonekani na kupewa hata ukuu wa wilaya.Usiiamini sana wikipedia,maana mtu yeyote anaweza ku edit habari.Mimi niliedit habari ya utalii afrika mashariki,nikaisifia sana Tanzania baada ya kuona kenya inajipendelea kwa vyanzo vya utalii wakati sisi Tz tunaizidi.