Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF...
Mimi kijana wenu nmegundua kuwa kabila letu wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini...
Ningependa tufahamiane humu vizuri....
Hivi Wairaq ni kabila au jamii kama ilivyo Wabantu, Nilo na Cushtic
 
Bura = pombe .. kwa lugha ya kiiraki
 
Nyie kabila tajwa nawaogopa sana....
 
Akina Dada wairaki mkuje PM kwangu haraka sana, kuna zawadi zenu!!!... Adolii!
 
Duh[emoji23] [emoji23] [emoji23] hapa ushanipoteza
Mwenyewe najua kidogo.

Ila nimesema naomba namba ya simu.
Lugha za kaskazini karibia zote najua jua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…