Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

weka kapicha mkuu maana nahisi utakuwa ni kati ya walengwa wa mada tajwa

a
tapatalk_1480163985533.jpeg
 
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF...
Mimi kijana wenu nmegundua kuwa kabila letu wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini...
Ningependa tufahamiane humu vizuri....
Hivi Wairaq ni kabila au jamii kama ilivyo Wabantu, Nilo na Cushtic
 
Akina Dada wairaki mkuje PM kwangu haraka sana, kuna zawadi zenu!!!... Adolii!
 
Back
Top Bottom