Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Eti wambulu na wairaq wanaskizana lugha
 
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF...
Mimi kijana wenu nmegundua kuwa kabila letu wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini...
Ningependa tufahamiane humu vizuri....
inaandikwa wairaqw mpendwa,,saitah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…