Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

Kabila la Wairaki tufahamiane hapa

khamsinda

Senior Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
108
Reaction score
71
Habarini ndugu jamaa na marafiki mliopo humu JF,

Mimi kijana wenu nimegundua kuwa kabila letu Wairaki kama tupo wachache sana hapa nchini. Ningependa tufahamiane humu vizuri.
 
Mimi nabaki hapa kuwasubiria dada zako tu mkuu.

Saita...
naunga mkono hoja, tumesharahisishiwa jinsi ya kuwapata, wakumbuke kuweka vipicha vyao ili tufanye vizuri machaguo
 
Back
Top Bottom