Wadau kunadada mmoja toka Arusha kabila ni muiraq, namkubali sana sana sana, lakini sijajua wasifu wa kabila hili, nawaombeni mnisaidie tabia na tamaduni la kabila hili kwa wale wanaolifahamu kiundani zaidi, katika positive na negative way.
Ngoja memba mmoja maarufu humu JF kwa jina ni Slaa, yeye ni Mu-Iraq atakuja kupa habari zao kamili, tena huyu ni kiongozi wa chadema, tegemea majibu mazuri kutoka kwake.

Kwa urembo tu baba hapo umepata, na watakuzalia watoto wazuri sana, ila uweke mbali mambo ya wivu...akija kaka yako haya, mdogo wako haya, jirani sawa, house boy twende