Kabila la "WAIRAQ" kutoka "ARUSHA"

Kabila la "WAIRAQ" kutoka "ARUSHA"

Status
Not open for further replies.

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
Wadau kunadada mmoja toka Arusha kabila ni muiraq, namkubali sana sana sana, lakini sijajua wasifu wa kabila hili, nawaombeni mnisaidie tabia na tamaduni la kabila hili kwa wale wanaolifahamu kiundani zaidi, katika positive na negative way.

God wanna bless you.
 
fuata hisia zako kamanda, mengine ukikutana nayo pambana hivyo hivyo
 
Ngoja memba mmoja maarufu humu JF kwa jina ni Slaa, yeye ni Mu-Iraq atakuja kupa habari zao kamili, tena huyu ni kiongozi wa chadema, tegemea majibu mazuri kutoka kwake.

Haya Dokta (wa kanoni) lete habari.
 
Mhh aya bwana.
 
Mimi namtafuta mmoja wa kuoa, sijui mpaka niende huko Hanangi ndio nimpate?.
 
Kwa urembo tu baba hapo umepata, na watakuzalia watoto wazuri sana, ila uweke mbali mambo ya wivu...akija kaka yako haya, mdogo wako haya, jirani sawa, house boy twende
 
Kwa urembo tu baba hapo umepata, na watakuzalia watoto wazuri sana, ila uweke mbali mambo ya wivu...akija kaka yako haya, mdogo wako haya, jirani sawa, house boy twende

Mh kiroriginal ahsante japo umenitisha tena.
 
Hua ni warembo sana but ukubali kula na nduguyo au rafikiyo..
 
nani kakwambia tunakaa Hanang peke yake........njoo Dongobesh na huku Daud uone watoto wewe.....

Honestly mmejaliwa manake hata rafikize ni wazuri pia.Jamani acha tu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom