Kabila la "WAIRAQ" kutoka "ARUSHA"

Status
Not open for further replies.
nani kakwambia tunakaa Hanang peke yake........njoo Dongobesh na huku Daud uone watoto wewe.....
Hebu nitafutie mmoja huko Preta, Hanang au Dongobesh sitajali sana. Kwani wa dada wa hapa JF kila mtu ana wake, mwambie mimi mvuvi hodari...
 
Hivi kwanini walipewa jina hilo?, wana uhusiano wowote na wairaq wa baghdad?
 
If upo serious njoo udsm hapa, ntakuonyesha uneza ufe wewe, manake dah dah.
 
Kwa urembo ni warembo kwelikweli, mengine sitayasema naogopa kusutwa
 
If upo serious njoo udsm hapa, ntakuonyesha uneza ufe wewe, manake dah dah.
Ngoja ntakapoleta samaki wangu hapo mjini kwa mauzo nitakutafuta, lazima niondoke na mmoja aisee!.
 
umesahau mbulu mjini,tlawi,mamaisara,yaeda chini,gunyoda,haydom
 
Ngoja ntakapoleta samaki wangu hapo mjini kwa mauzo nitakutafuta, lazima niondoke na mmoja aisee!.

Jipange lakini, manake nao wasumbufu kukubali! Hawakubali kirahisirahisi
 
Hivi kwanini walipewa jina hilo?, wana uhusiano wowote na wairaq wa baghdad?
Hapo kwenye bold, jibu ni NDIYO. Huu uzao wa Wairaqw, Wasomali, Watutsi, Warangi, Wahabeshi (Ethiopia na Eritrea), kwa jina collectively wanajulikana kama (Hamites) wametokea middle east, miaka mia nyingi sana iliyopita.
 
Dah ahsante mkúu, hawa watu ni noma.
 
kwelii hii field ya mapenzi ni relative.
sasa we ushapenda tena unasema sanax3 af unataka tena kujua kabila zima?
kwan unataka kuwaoa na dada zake?
 
No lengo ni kufanya research na kufaham zaidi ya ninavyofaham.
 
Mtoa mada, kama umefika bei OA, hayo mengine ni ziada tu, provided kwamba Mtanzania yoyote anaweza kuoa ama kuolewa na Mtanzania mwingine wa kabila lolote lile
 
thank you kwa ushauri mkuu
 
Wapo zaidi mkoa wa Manyara,katika wilaya za Babati Mjini na Vijijini, Mbulu na Hanang'. Arusha wapo Karatu.

Hakika ni wazuri. Ila naona jamii yao kama wana katabia ka ubaguzi hivi kwa wale wasio wa kwao! Nimekaa sana pale Babati Mjini,ambapo kuna wafiome (jamii hiyo hiyo ya wairaqw - kama wanyamwezi na wasukuma),kule Dareda,Bashnet,Madunga,Qameyu hadi Merr. Kwa kweli nilikuwa naona hiyo dhana ya ubaguzi. Sasa kama ukiweza kuoa fahamu tu hilo.
 
Hapo kwenye bold, jibu ni NDIYO. Huu uzao wa Wairaqw, Wasomali, Watutsi, Warangi, Wahabeshi (Ethiopia na Eritrea), kwa jina collectively wanajulikana kama (Hamites) wametokea middle east, miaka mia nyingi sana iliyopita.

Idimi. Sikuwa na fahamu kama warangi nao wanaingia katika jamii hii! Nilifahamu warangi ni jamii ya wabantu.

Hivi na wanyaturu nao wanaingia katika jamii hiyo ya Hamites?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…