Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,255
Hebu nitafutie mmoja huko Preta, Hanang au Dongobesh sitajali sana. Kwani wa dada wa hapa JF kila mtu ana wake, mwambie mimi mvuvi hodari...nani kakwambia tunakaa Hanang peke yake........njoo Dongobesh na huku Daud uone watoto wewe.....