Kabila la Waluguru na asili yao kutoka Ufilipino

HERY HERNHO

Senior Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
110
Reaction score
458
Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja.

KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed Barghash, uitagundua kuwa kwenye safu ya Milima ya Uluguru na pembezoni mwake kulikuwa chini ya Machifu wa makabila tofauti ambayo leo hii yanaitwa “Koo za Kiluguru”.

Utafiti unaonesha kuwa, zipo baadhi ya koo hazikutokana kabisa na makabila ya kibantu, yaani baadhi zilitokana na na Wafilipino waliyoko Asia kusini, na wengine walitokana na makabila ya kiarabu.

Pia wapo waliotokana na Wazulu waliotoka moja kwa moja Afrika Kusini, au wale waliotangulia kabla kukwepa vita ya Chaka Zulu wakiwemo Wanyasa, Wamanda, Wangoni, Wabena na wengineo ambao majina yao yalibadilika kutokana na maeneo waliyoishi, au matukio waliyokutana nayo.

Wapo pia waliotokana na makabila ya bara ikiwemo Wanyamwezi, na makabila ya kaskazini ikiwemo Kilimanjaro, milima ya Upare, na Unguu na kadhalika.

Makabila au koo zote hizi kwa bahati zilizingumza lugha moja na kufanana kitamaduni japo baadhi ya mila na desturi zao zilitofautiana kutegemea na asili zao.
🧐
🧐

Mmoja kati ya hao ambaye Historia ya Waluguru imemrekodi na kumkariri sana ni Keith Johnson ambaye alishazungukia eneo la Maasai, na Ziwa Victoria, kisha kupita njia hii akielekea pwani.

Alipoingia katika eneo la Waruguru na Wakutu, Jasusi huyo bobezi akielekea ukanda wa kati na Maziwa makuu mwaka 1879, kwa mara ya kwanza alishangazwa na umbile la ajabu la sehemu ya tao hili la milima ya Mashariki ya Afrika.

Hata kabla ya kusafisha mboni zake za macho kuona madhari asilia ya kuvutia na kuweka historia, roho yake ikaacha mwili, alipofariki eneo la Ukutu mwaka huo, na kuzikwa Behobeho kusini ya Kisaki.

Msaidizi wake mkuu Joseph Thomson wakati huo akiwa ni kijana mbichi asiye na uzowefu mkubwa, akitimu umri wa miaka 23 tu toka kuzaliwa kwake, akabeba mikoba ya mtangulizi wake.

Thomson kama ilivyo kwa mwandamizi wake alivutiwa mno na safu hii ya milima adhimu ya Uluguru kiasi cha kushika kalamu katika moja ya maandiko yake akiweka bayana kuwa; “Uwasili umemwaga utajiri wa maliasili zake, na kuzalisha kila kinachoweza kutuliza moyo na mwili, halkadhalika kuburudisha macho kwenye tao la milima hii”.
 
Yule IGP mstaafu ni mfilipino kabisa
Namaanisha Omar mahita.

Na wachaga ni wacongoman sikiliza wimbo wa nario wa Franco alivyooengea kichaga
Mzee Wa Ngunguri Wakati CUF Waliijiita Ngangari
 
Yule IGP mstaafu ni mfilipino kabisa
Namaanisha Omar mahita.

Na wachaga ni wacongoman sikiliza wimbo wa nario wa Franco alivyooengea kichaga
upi huo mkuu jina lake unaitwaje? nitumie jina pm
 
Hii habari ni nzito sana ngoja kwanza ninywe maji kidogo.
 
Alipoingia katika eneo la Waruguru na Wakutu, Jasusi huyo bobezi akielekea ukanda wa kati na Maziwa makuu mwaka 1879, kwa mara ya kwanza alishangazwa na umbile la ajabu la sehemu ya tao hili la milima ya Mashariki ya Afrika.
Huenda moja ya damu yake ni yule wa bao la dakika ya 89:59
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watani zangu kumbe wengine ni wafilipino ....harafu mmekaa kimya hata hamkusema ....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Asili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja.

KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed Barghash, uitagundua kuwa kwenye safu ya Milima ya Uluguru na pembezoni mwake kulikuwa chini ya Machifu wa makabila tofauti ambayo leo hii yanaitwa “Koo za Kiluguru”.

Utafiti unaonesha kuwa, zipo baadhi ya koo hazikutokana kabisa na makabila ya kibantu, yaani baadhi zilitokana na na Wafilipino waliyoko Asia kusini, na wengine walitokana na makabila ya kiarabu.

Pia wapo waliotokana na Wazulu waliotoka moja kwa moja Afrika Kusini, au wale waliotangulia kabla kukwepa vita ya Chaka Zulu wakiwemo Wanyasa, Wamanda, Wangoni, Wabena na wengineo ambao majina yao yalibadilika kutokana na maeneo waliyoishi, au matukio waliyokutana nayo.

Wapo pia waliotokana na makabila ya bara ikiwemo Wanyamwezi, na makabila ya kaskazini ikiwemo Kilimanjaro, milima ya Upare, na Unguu na kadhalika.

Makabila au koo zote hizi kwa bahati zilizingumza lugha moja na kufanana kitamaduni japo baadhi ya mila na desturi zao zilitofautiana kutegemea na asili zao.
🧐
🧐
Mmoja kati ya hao ambaye Historia ya Waluguru imemrekodi na kumkariri sana ni Keith Johnson ambaye alishazungukia eneo la Maasai, na Ziwa Victoria, kisha kupita njia hii akielekea pwani.

Alipoingia katika eneo la Waruguru na Wakutu, Jasusi huyo bobezi akielekea ukanda wa kati na Maziwa makuu mwaka 1879, kwa mara ya kwanza alishangazwa na umbile la ajabu la sehemu ya tao hili la milima ya Mashariki ya Afrika.

Hata kabla ya kusafisha mboni zake za macho kuona madhari asilia ya kuvutia na kuweka historia, roho yake ikaacha mwili, alipofariki eneo la Ukutu mwaka huo, na kuzikwa Behobeho kusini ya Kisaki.

Msaidizi wake mkuu Joseph Thomson wakati huo akiwa ni kijana mbichi asiye na uzowefu mkubwa, akitimu umri wa miaka 23 tu toka kuzaliwa kwake, akabeba mikoba ya mtangulizi wake.

Thomson kama ilivyo kwa mwandamizi wake alivutiwa mno na safu hii ya milima adhimu ya Uluguru kiasi cha kushika kalamu katika moja ya maandiko yake akiweka bayana kuwa; “Uwasili umemwaga utajiri wa maliasili zake, na kuzalisha kila kinachoweza kutuliza moyo na mwili, halkadhalika kuburudisha macho kwenye tao la milima hii”.

MAKALA HII INAPATIKANA KATIKA CHANNEL YETU YA HMGAsili ya neno Morogoro ni Mluguru ili kujua zaidi twende pamoja.

KAMA utairejea historia ya Morogoro ya miaka ya kati ya 1870 hadi 1888, kipindi ambacho Sultan wa Zanzibar alikuwa Sayyed Barghash, uitagundua kuwa kwenye safu ya Milima ya Uluguru na pembezoni mwake kulikuwa chini ya Machifu wa makabila tofauti ambayo leo hii yanaitwa “Koo za Kiluguru”.

Utafiti unaonesha kuwa, zipo baadhi ya koo hazikutokana kabisa na makabila ya kibantu, yaani baadhi zilitokana na na Wafilipino waliyoko Asia kusini, na wengine walitokana na makabila ya kiarabu.

Pia wapo waliotokana na Wazulu waliotoka moja kwa moja Afrika Kusini, au wale waliotangulia kabla kukwepa vita ya Chaka Zulu wakiwemo Wanyasa, Wamanda, Wangoni, Wabena na wengineo ambao majina yao yalibadilika kutokana na maeneo waliyoishi, au matukio waliyokutana nayo.

Wapo pia waliotokana na makabila ya bara ikiwemo Wanyamwezi, na makabila ya kaskazini ikiwemo Kilimanjaro, milima ya Upare, na Unguu na kadhalika.

Makabila au koo zote hizi kwa bahati zilizingumza lugha moja na kufanana kitamaduni japo baadhi ya mila na desturi zao zilitofautiana kutegemea na asili zao. waweza kutazama makala hii kwa undani zaidi hapa
waluguru ni wabantu pure bila hata chembe ya nje. kwa afrika, makabila pekee yaliyochanganya na far east, ni Madagascar, wale walichanganya na watu waliotoka Indonesia, na hata macho yao yanaonekana tu. wengine wote ni wenzetu tu au wamechanganywa na waarabu.
 
Back
Top Bottom