Kabila la wanguu linapatikana wapi Tanzania?

unaonekana wewe ni mwenyeji wa turiani
 
moja kati ya makabila vilaza ni hawa jamaa, hawana msomi hata mmoja serkaln
Kama hawakupata fursa ya kwenda shule siyo vilaza labda kama walienda shule wakafeli.Vilaza ni wale waliopata Bashite kama Daud Albert anayejiita siku hizi Paul Jikonda.
 
Hata Hapa Ubena tupo sisi Wanguu
 
Mku Kilaga ww ni mwenyeji wa Kilindi kwani naomba kujua upatikanaji wa arthi ukoje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…