libra
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 301
- 121
unaonekana wewe ni mwenyeji wa turianiNi kweli maeneo ya turiani moro pia wako upande.wa tanga na upande manyara,pia wako maeneo ya kiteto kwa hakika wamesambaa maana mpaka maeneo ya.dosidosi mkoa dodoma pia wako.
Mimi ni mnguu pia kwetu ni wilaya ya mvomero, kuna kijiji kinaitwa pemba au kwedihangala