Wajue Wasukuma..
Wasukuma ni Wabantu wanaopatikana katika mwambao wa Ziwa Nyanza.Wasukuma wamegawanyika katika koo zaidi ya 80.
Wanafahamiana kwa koo na tawala zao.
Jamii hii ya Wasukuma ni Wafugaji na Wakulima.
Kabila hili limegawanyika katika pande nne kuu
Sukuma(yaani kaskazini)....hizi ni koo ambazo ziko kaskazini mwa koo zilizo kusini.
Kuna koo zilizo kusini kama vile wanyamwezi,,katika kabila la Wasukuma,huwa hawaitwi wanyamwezi,wanaitwa Wadakama(yaani wa kusini)
Wote hawa wanasikilizana lakini wao hutambuana kwa rafudhi,yaani matamshi.ila wageni ndio waliwaita Wanyamwezi.
Kuna wa kiya(Yaani mashariki)hii ni jamii kama vile koo za Ntuzu huko bariadi,ni vizaria vya koo za jamii za kaskazini,yaani Sukuma.
Tabia za Wasukuma:
Wasukuma wanatabia ya kuheshimu mila zao na kukuza utamaduni wao,,
Msukuma anaoa wake zaidi ya mmoja
na pia anapohamia katika jamii flani,,
anatabia ya kuzungumza lugha yake ya
Taifa la Wasukuma lengo ni kutakata kuhodhi tamaduni za makabila mengine n.k.
Jamii hii ni tajiri sana,(Ngo'ombe)ndio maana walikuwa wanakataa kusoma,,hawakuamini shule inaweza kukutoa kwenye ujinga na umasikini,,
Wasukuma waliamini
Wasukuma kwa sasa ,ndio wachimba madini, wafanyabiashara wa maduka ya jumla na rejareja.pia ni wauza madini
aina ya dhahabu.
Elimu:
Kwasasa Wasukuma wanasoma sana
Wanatumia rasilimali zao kusomesha watoto wao...
Wasukuma si watu wa kulalamika,wanaamini katika kazi
Ndio maana hata Magufuli anatumia hiyo slogan...
Sent using
Jamii Forums mobile app