JUNIOR GONG
Member
- Jun 29, 2014
- 60
- 28
Habari za weekend wakuu?
Natumaini mko salama, kwa ambao hawako sawa Mungu awafanyie wepesi mrudi katika khali zenu nzuri za kila siku.
Ombi langu kwenu ni kwamba miaka kadhaa nyuma nilisoma thread moja humu inaelezea chimbuko la kabila la WAZANAKI, kama sijakosea maelezo yake yalianzia kwenye nchi ya Isirael, ikatajwa Ethiopia na Rwanda pia, ninaomba msaada mwenye kufahamu naomba ani-link niweze kuipata nina shauku kubwa ya kuipata tena thread hiyo.
Ni hayo tu wakuu.
Wasalaam