MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Magufuli hakuwahi kuwa msukuma kama Makani na Bomani. Wengi wao hujifanya wahaya, waha na wasukuma lakini ukweli wa ndani tunaufahamu.Magufuli Rais,Jaji mkuu Nyalali,wanasheria wakuu:Marc Bomani,Chenge,Feleshi.
Naibu Gavana wa benki kuu Bob Makani,
Mkuu wa majeshi Mabeyo.
Bila kumsahau mtoto wa dandu,dudubaya na wengine weeengi including mimi mwenyewe simba jike.
Wasukuma Oyeeeeee.