Kabila lenye kuongoza wanaume ma Handsome nchini.

Kabila lenye kuongoza wanaume ma Handsome nchini.

Truths

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
1,494
Reaction score
1,504
Wanaume tunajisikia poa kuponda wanawake. Sasa mkuki ukigeuka inakuaje.?

Kabila lenye kuongoza wanaume ma Handsome zaidi nchini.

Wanawake tu, wachangie hapa.
No rules
 
Mambo haya waachie Kina BEIRA BOY ama Muosha Rungu..[emoji125] [emoji125]

Vipi Dj Sepetu hupo ndugu..!
Nimezimisi zile Interview..
 
😀😀😀😀
mleta uzi katoa angalizo kabisa kuwa anataka mabinti tu wachangie ila watu hatuelewi somo
 
Wanaume tunajisikia poa kuponda wanawake. Sasa mkuki ukigeuka inakuaje.?

Kabila lenye kuongoza wanaume ma Handsome zaidi nchini.

Wanawake tu, wachangie hapa.
No rules
Wewe kweli ni ME???

Unatutia mashaka aiseee
 
Back
Top Bottom