ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,979
Inasaidia nini ukiwa handsome. Matokeo ya kidato cha NNE yametoka subiri kureseat.Wanaume tunajisikia poa kuponda wanawake. Sasa mkuki ukigeuka inakuaje.?
Kabila lenye kuongoza wanaume ma Handsome zaidi nchini.
Wanawake tu, wachangie hapa.
No rules