Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

Mpo kazini, mnaongea mambo ya matako na sio kuongea jinsi ya kuongeza ufanisi wa kazi mathalani huduma kwa wateja. Ama kweli ninyi pia ni matako
 


Safi sana si hawataki ongeza mishahara ,bishaneni pia kuhusu mpira ,diamond vs kiba ,zari na hamisa ,mange kimambi vs lemutuz .Mda wa ofisi ukifika fungeni rudini home .

Kwahilo swali lako ni wanyakyusa hiyo haina ubishi,nakupa mifano Witness kibonge mwepesi, Bahati Bukuku, yule mtangazaji wa channel 10, shaa ,Gigymoney ,amberuru , na wengine wengi wasio maarufu
 
nithithiiiiii babaa thaoo na thithiii mamaaa thao...tunao wathaa wothee mnaowavonaa huko...atheeeeeeeeeeee bwatheee,wapareeee wanaaa ndombolo ikibindaaa nkoiiiii
Mkuu,punguza v2ko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…