Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,724
- 1,693
Mpo kazini, mnaongea mambo ya matako na sio kuongea jinsi ya kuongeza ufanisi wa kazi mathalani huduma kwa wateja. Ama kweli ninyi pia ni matako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wajaluo wamegawanyika....kuna wenye misambwanda baraaaa ila kuna kina Ssarrungi flat screen
Ila maji mengi nadhani sababu ya ndizi Bukoba na kupigwa miti sana
pichaWatu wa dodoma na singida
![]()
![]()
![]()
![]()
Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni mashalaaah sasa bwana kazua zogo kuwa.
Kabila lao yaani wahaya ndio linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa. Mwingine anasema wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuwa na makalio makubwa mwingine anasema ndugu zetu wachaga.
Mmoja anasema kuwa wangoni ndio wa kwanza sababu wao wana genes za africa kusini ambapo huko nidio chimbuko la makalio makubwa
Mwingine anasema watu wa tanga.
Sasa nikasema ngoja niwashirikishe wenzangu wa janii forums Huu ubishi then tutapata jibu hapa so ndugu zangu naomba majibiu yenu.
C.T.U
Wachaga unawajua wewe?Wachaga
Mkuu,punguza v2ko!nithithiiiiii babaa thaoo na thithiii mamaaa thao...tunao wathaa wothee mnaowavonaa huko...atheeeeeeeeeeee bwatheee,wapareeee wanaaa ndombolo ikibindaaa nkoiiiii
Mkuu,hilo kabila ni warangi!kuna kabira flani hiv noma ila miguu ka chelewa. Mpaka wanaume wa huko pia wanakibinda