Teh teh teh.Watoto wa Kihaya wanaongoza kwa ushepu! Juu wembamba, chini wanene. Watoto wa Kinyaki wamejazia juu mpka chini. Watoto wa Kichaga wamejazia juu chini wembamba...
Wewe umeingia huku?si uende jukwaa lingine?watu wengine bana unashindwa kuwaelewa.That's truth ma bro
Hiyo ni sehemu ya ajira yenu? I mean ofisi yenu ina deal na mambo ya utafiti?Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa....
C.T.U
Pamoja sana hawa watu kukaa nao kwa akili kama Maandiko yanavyosema.Nimekusoma kiongozi.
Ulivyo kataa umenikumbusha kisa cha almarhum remmy ongala kulikuwa na shindano la ubaya kwa wanamume akachukua mtu mmoja wa sharif shamba wa kuitwa masudi sura mbaya mzee jangala akawa wa pili na remmy wa tatu sasa dokta akawa anapinga yeye kuwa wa tatu ila kuhusu mshindi wa kwanza alisema"sina tatizo nae yule kijana ni mbaya kweli".Wachaga hapana ndugu yangu.tunawafahamu mwanzo mwisho.
Umenikumbusha mbali niliwai pata nafasi ya kuwa nae karibu pale Sharif Shamba ni mtu mcheshi na ana stori nyingi za kufurahisha.Ulivyo kataa umenikumbusha kisa cha almarhum remmy ongala kulikuwa na shindano la ubaya kwa wanamume akachukua mtu mmoja wa sharif shamba wa kuitwa masudi sura mbaya mzee jangala akawa wa pili na remmy wa tatu sasa dokta akawa anapinga yeye kuwa wa tatu ila kuhusu mshindi wa kwanza alisema"sina tatizo nae yule kijana ni mbaya kweli".
Sasa nawe ulivyo kataa kuhusu chanaga ndio umenikumbusha mbaliiiii.
Innah lillah wainnah ilayhy rajiuun chuma kimeng'oka kile yaah masudi alikuwa mtu poa sana chini panameza watu jamani.Umenikumbusha mbali niliwai pata nafasi ya kuwa nae karibu pale Sharif Shamba ni mtu mcheshi na ana stori nyingi za kufurahisha.
Nimesikia tetesi hatupo nae tena.
Kumbe kweli? Last time nilikuwa nae 2009/10 miguu ilikuwa inamsumbuaInnah lillah wainnah ilayhy rajiuun chuma kimeng'oka kile yaah masudi alikuwa mtu poa sana chini panameza watu jamani.
Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni mashalaaah sasa bwana kazua zogo kuwa.
Kabila lao yaani wahaya ndio linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa. Mwingine anasema wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuwa na makalio makubwa mwingine anasema ndugu zetu wachaga.
Mmoja anasema kuwa wangoni ndio wa kwanza sababu wao wana genes za africa kusini ambapo huko nidio chimbuko la makalio makubwa
Mwingine anasema watu wa tanga.
Sasa nikasema ngoja niwashirikishe wenzangu wa janii forums Huu ubishi then tutapata jibu hapa so ndugu zangu naomba majibiu yenu.
C.T.U
[emoji1] [emoji1]siku hizi unakuta mnyakyusa kaona na mhaya..mchaga na mnyamwezi...mhangaza na Mbulu..basi what comes out plus viskin jeans ni balaa
Yaani mtu akikuhadithia unaweza usiamini ila kwa watu tulio mjua jamaa alikuwa smart sana .Kumbe kweli? Last time nilikuwa nae 2009/10 miguu ilikuwa inamsumbua