Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

Kabila linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa Tanzania

bongo movie,hebu niwekeeni picha yadada mtangazaji wachanel tena mwaipyana
 
Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa....
C.T.U
Hiyo ni sehemu ya ajira yenu? I mean ofisi yenu ina deal na mambo ya utafiti?
 
Wachaga hapana ndugu yangu.tunawafahamu mwanzo mwisho.
Ulivyo kataa umenikumbusha kisa cha almarhum remmy ongala kulikuwa na shindano la ubaya kwa wanamume akachukua mtu mmoja wa sharif shamba wa kuitwa masudi sura mbaya mzee jangala akawa wa pili na remmy wa tatu sasa dokta akawa anapinga yeye kuwa wa tatu ila kuhusu mshindi wa kwanza alisema"sina tatizo nae yule kijana ni mbaya kweli".
Sasa nawe ulivyo kataa kuhusu chanaga ndio umenikumbusha mbaliiiii.
 
Umenikumbusha mbali niliwai pata nafasi ya kuwa nae karibu pale Sharif Shamba ni mtu mcheshi na ana stori nyingi za kufurahisha.
Nimesikia tetesi hatupo nae tena.
 
Umenikumbusha mbali niliwai pata nafasi ya kuwa nae karibu pale Sharif Shamba ni mtu mcheshi na ana stori nyingi za kufurahisha.
Nimesikia tetesi hatupo nae tena.
Innah lillah wainnah ilayhy rajiuun chuma kimeng'oka kile yaah masudi alikuwa mtu poa sana chini panameza watu jamani.
 
Kumekuwa na mabishano sana hapa kazini kuwa kuna kabila gani linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa na hii imetokana na mfanyakazi mmoja kujoin na sisi kutoka kabila la wahaya ambaye kidogo ni mashalaaah sasa bwana kazua zogo kuwa.

Kabila lao yaani wahaya ndio linaloongoza kwa wanawake wenye makalio makubwa. Mwingine anasema wanyakyusa ndio wanaongoza kwa kuwa na makalio makubwa mwingine anasema ndugu zetu wachaga.

Mmoja anasema kuwa wangoni ndio wa kwanza sababu wao wana genes za africa kusini ambapo huko nidio chimbuko la makalio makubwa
Mwingine anasema watu wa tanga.

Sasa nikasema ngoja niwashirikishe wenzangu wa janii forums Huu ubishi then tutapata jibu hapa so ndugu zangu naomba majibiu yenu.

C.T.U

Hili swali linaulizwa kwa faida ya nani humu ndani. I mean tutafaidikaje kiuchumi kama taifa baada ya kina kujadili swali hili?
 
Back
Top Bottom