Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeingia kwenye jukwaa ndilo silo mkuu. Kuna jukwaa la uchumi na siasa nenda huko. Huku ni chit-chat na si vibaya watu wakifurafi na kucheka kidogo.Hili swali linaulizwa kwa faida ya nani humu ndani. I mean tutafaidikaje kiuchumi kama taifa baada ya kina kujadili swali hili?
Yule kokote alipo ntamtafuta labda kama aoelewe otherwise ntarudisha majeshi! Ukiwa na demu mkali, mademu wengine either wakuheshimu na kukuogopa au watakuchukia tu ha ha ha kuna kadem kamshikaji wangu kalikuwa kananidharau, kananionaona tu sina demu, basi siku moja nimetoka kulitafuna hilo dude langu tukawa tunapanda town, mara haka hapa ha ha kaliniamkia wakati hakajawahi kufanya hivyo, na kakamwambia mshikaji wangu ambae ni bwanake kwamba aniambie mimi ni noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hongera kaka , ila jaribu kumtafuta ukumbushie, mimi yule Demu sijaona naye muda kiasi, ila mama uwa naonana naye, siku nikukutanae naweza kukunbushia kama kawa, ule mdude ulikuwa Napata heshima mtaani hasa kwa mademu, unajua mademu ukiwa na demu mwenzao mzuri uwa wanajistukia
Anzisha uzi wakeMimi nafikiri tungejadili ni wanawake wa kabila gani wanapenda kuvaa shanga na ikiwezekana watu watupie picha hapa.
Saa za kazi tumetofautiana sana, wengine usiku, wengine mchana na wengine wanachati huku wanasafiri na mabasi je wasichati sababu ni mchana?Tunasafari ndefu sana, Yani muda wa kazi mna discuss matakako makubwa? mkitumbuliwa mnalalamika.
Shimba shimba ya buyenze nakupongeza[emoji106]Umeingia kwenye jukwaa ndilo silo mkuu. Kuna jukwaa la uchumi na siasa nenda huko. Huku ni chit-chat na si vibaya watu wakifurafi na kucheka kidogo.
By the way tatizo la nchi hii siyo kujadili nadharia nzuri za kiuchumi na kiuongozi. Hata umlete Adam Smith aje aendeshe mijadala ya kiuchumi hakuna kitu. Tatizo letu ni ufisadi unaosababishwa na uongozi na mfumo mbovu. Kama una suluhisho la haya matatizo karibu mkombozi wetu ututatulie once and for all.
ahahaaaaaa, ukiwa na demu mkali ni rahisi saana kuwala mademu wengine , ahahaa mzee siku hiyo uliuwaYule kokote alipo ntamtafuta labda kama aoelewe otherwise ntarudisha majeshi! Ukiwa na demu mkali, mademu wengine either wakuheshimu na kukuogopa au watakuchukia tu ha ha ha kuna kadem kamshikaji wangu kalikuwa kananidharau, kananionaona tu sina demu, basi siku moja nimetoka kulitafuna hilo dude langu tukawa tunapanda town, mara haka hapa ha ha kaliniamkia wakati hakajawahi kufanya hivyo, na kakamwambia mshikaji wangu ambae ni bwanake kwamba aniambie mimi ni noma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yeah ni rahisi sana mkuuahahaaaaaa, ukiwa na demu mkali ni rahisi saana kuwala mademu wengine , ahahaa mzee siku hiyo uliuwa
ila siku hizi mademu wengi upenda waonekane wana migongo, ila mi nina zari nao hawa wenye migongo, mi nishakuwa nao wengine wawili wana migongo, mmoja mgogo na mwingine muhaya, ingawa kwa uzuri na mgongo hawawezi kumfikia yule demu wangu wa mwanzoYeah ni rahisi sana mkuu
Wenye migongo wanatamba sana, nilisikia wagogo nao balaa mkuu wanamizigo kama bajaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]ila siku hizi mademu wengi upenda waonekane wana migongo, ila mi nina zari nao hawa wenye migongo, mi nishakuwa nao wengine wawili wana migongo, mmoja mgogo na mwingine muhaya, ingawa kwa uzuri na mgongo hawawezi kumfikia yule demu wangu wa mwanzo
Nimesikia sikia ntajaribu kufuatilia japo me najua tu ni mablack beautywahaya wanaongoza kama uamini fanya uchunguzi kwa wahaya
Daah wagogo wana mizigo hasa halafu wengi wao ni black beauty, mimi kuna kipindi nilWenye migongo wanatamba sana, nilisikia wagogo nao balaa mkuu wanamizigo kama bajaji![]()
![]()
![]()
Daah wagogo wana migongo hasa, halafu wengi wao ni wazuri, mimi kuna kipindi niliishi Dodoma, daah we acha tu kaka,yule demu wangu wa kigogo naye ameolewa na jamaa mmoja maarufuWenye migongo wanatamba sana, nilisikia wagogo nao balaa mkuu wanamizigo kama bajaji[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli nomaDaah wagogo wana mizigo hasa halafu wengi wao ni black beauty, mimi kuna kipindi nil
Daah wagogo wana migongo hasa, halafu wengi wao ni wazuri, mimi kuna kipindi niliishi Dodoma, daah we acha tu kaka,yule demu wangu wa kigogo naye ameolewa na jamaa mmoja maarufu
YES wahaya nao ni shida, wana migongo hasa ahahaaNimesikia sikia ntajaribu kufuatilia japo me najua tu ni mablack beauty
Hilo jina lako umenikumbusha demu mmoja alikuwa na mgongo hasa , alikuwa anasoma jangwani , ni mixed ya mtusi na muhaya, yule demu alikuwa kisu saana ,halafu whiteeeKuna mwanamke asiye na makalio?
Anakalia mgongo au?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hilo jina lako umenikumbusha demu mmoja alikuwa na mgongo hasa , alikuwa anasoma jangwani , ni mixed ya mtusi na muhaya, yule demu alikuwa kisu saana ,halafu whiteee