Ayatollah the Bird
JF-Expert Member
- Jul 30, 2026
- 314
- 682
Wachagga,wamakonde,wambulu,wasukuma,warangi,wasambaa,wapare,wazaramo,wanyaturu,wahaya,wadigo,wakuriya.
Mkuu, sijaelewa ulichokiandika, maana hili neno ni Moja. Hakuna nafasi kabisa. Na sijawahi kuona neno refu kama hili tangu nizaliwe.Wachagga,wamakonde,wambulu,wasukuma,warangi,wasambaa,wapare,wazaramo,wanyaturu,wahaya,wadigo,wakuriya.
Mkuu, sijaelewa ulichokiandika, maana hili neno ni Moja. Hakuna nafasi kabisa. Na sijawahi kuona neno refu kama hili tangu nizaliwe.
Anyway, labda Moisemusajiografii anaweza kunisaidia
Ulitaka aandikeje mkuu,na unaona kila baada ya neno Kuna alama ya mkato (,)Mkuu, sijaelewa ulichokiandika, maana hili neno ni Moja. Hakuna nafasi kabisa. Na sijawahi kuona neno refu kama hili tangu nizaliwe.
Anyway, labda Moisemusajiografii anaweza kunisaidia.
Sisi wazee wa mwaka 47 tunataka kuwe na nafasi kati ya neno na neno.Ulitaka aandikeje mkuu,na unaona kila baada ya neno Kuna alama ya mkato (,)
WanyanturuWachagga,wamakonde,wambulu,wasukuma,warangi,wasambaa,wapare,wazaramo,wanyaturu,wahaya,wadigo,wakuriya.