kabinti kamiaka 17 kamefumwa na mzungu wa miaka 60.

kabinti kamiaka 17 kamefumwa na mzungu wa miaka 60.

kazuramimba

Senior Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
126
Reaction score
57
wiki kama mbili kulikuwa na habari kuwa kabinti kamekutwa kakibaka kavulana sasa hii nayo kali kasichana kamoja kama ilivyo elezwa na mtoa mada kuwa kalikuwa kanapenda kuzungumzia sana habari za wazungu sasa juzi kakaaga kwao kuwa kanaenda kwa rafiki yake kumbe wapi! Kalikuwa kanaenda kwa bwana ake ambaye ni babu wa kizungu pale ndege beach.jioni kaka yake akiwa na mkewe nao wakatoka out kama kawa ndege mjanja hunaswa kwenye 2ndu lake nao wakaenda ndege beach alipofika akashangaa kuona kabinti kadogo kakipigwa ma de nda ya kufamtu na babu wakizungu lol! Alipotazama vizuri kumbenimdogo wake wa damu. Alipowasogelea yule babu wa kizungu akakimbia kwa hofu baadae nyumbani akampiga sana mdogo wake ikabidi aseme ukweli kuwa amesha fanya mapenzi na mzungu mara kibao na mzungu amekwisha mpa simu nokia ya bei mbaya ambayo alikuwa anatumia kwa siri.Akaendelea kudai kuwa kuna miss Tz ambae huwa anawapeleka yeye na wenzie 9 kwa wazungu wote wana umri chini ya miaka 18. Jamani tunaenda wapi?? Kama wa mama wa kesho wanafanya hivi? source capital fm.
 
ID yako matata sana!
kazura mimba ni sehemu ambayo ipo maeneo ya kigoma kama sikosei ila kabla ya kufika kigoma along central railway.........kama unavyoweza kuita kimara,mwenge,manzese o kitangire au eneo lolote
 
user-online.png
kazuramimba

Today 05:55 PM
#1
Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png



Join Date : 14th June 2011
Posts : 4
Thanks 0 Thanked 0 Times in 0 Posts

Rep Power : 0
 
Mtu unajidanganya kuchukua mademu wadogo unapiga kavu kwa kujidanganya bdo hawajaanza mchezo kumbe had mababu ya kizungu yameshafungua kote! Eee Mwenyezi Mungu tuokoe na hili janga!
 
hivi binti wa miaka 17 ni bado mdogo sna kujua jema na baya? mi siamini kama alienda kwa huyo babu kwa kupelekwa na miss TZ bali tamaa zake tu zilimponza. vijana wa ck hz wanatamani kupata bila jasho. mie juzi nikiwa pale Brake point, ile napaki tu gari nashangaa kijana ananichekea kwa bidii, nikahisi ananijua nikamchangamkia sana, cha ajabu akaanza eti kumwaga sera kuwa ananipenda sana nianze uhusiano nae kwa siri anajua nina familia lakini mie nimpangie tu muda wa kuwa nae yeye yuko tayari kunisikiliza! i was shocked nikahisi labda ana matatizo ya akili, lakini ndio wanatafuta urahisi wa maish hapo, kavulana kenyewe kanalingana na binti yangu!!!!!!!!!!! upuuzi mtupu!
 
Hii stori nahisi kama sio ya leo iliwahi kuja hapa mwezi wa kwanza!!
 
Back
Top Bottom