kazuramimba
Senior Member
- Jun 14, 2011
- 126
- 57
wiki kama mbili kulikuwa na habari kuwa kabinti kamekutwa kakibaka kavulana sasa hii nayo kali kasichana kamoja kama ilivyo elezwa na mtoa mada kuwa kalikuwa kanapenda kuzungumzia sana habari za wazungu sasa juzi kakaaga kwao kuwa kanaenda kwa rafiki yake kumbe wapi! Kalikuwa kanaenda kwa bwana ake ambaye ni babu wa kizungu pale ndege beach.jioni kaka yake akiwa na mkewe nao wakatoka out kama kawa ndege mjanja hunaswa kwenye 2ndu lake nao wakaenda ndege beach alipofika akashangaa kuona kabinti kadogo kakipigwa ma de nda ya kufamtu na babu wakizungu lol! Alipotazama vizuri kumbenimdogo wake wa damu. Alipowasogelea yule babu wa kizungu akakimbia kwa hofu baadae nyumbani akampiga sana mdogo wake ikabidi aseme ukweli kuwa amesha fanya mapenzi na mzungu mara kibao na mzungu amekwisha mpa simu nokia ya bei mbaya ambayo alikuwa anatumia kwa siri.Akaendelea kudai kuwa kuna miss Tz ambae huwa anawapeleka yeye na wenzie 9 kwa wazungu wote wana umri chini ya miaka 18. Jamani tunaenda wapi?? Kama wa mama wa kesho wanafanya hivi? source capital fm.