Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Haya makundi ujengwa na utawala uliopo madarakani.Tumeona sudani kwa bashiru kundi lake limekuwa wapinzani wa serikali.
Watawala wanapotengeneza vikosi vyenye nguvu kwa kuamini wanajilinda ndio leo mifano tunayo.
Hiki chama cha CCM kwa mtindo wake kisha jenga mfano M23 na siku kishaondolewa basi mkubari ile dola wanayo miliki ya kificho inaweza kupambana na serikali.