Kabla dirisha dogo halijafunguliwa, Simba SC kashalifunga

Mpaka sasa;

1. Azam FC
2. Simba SC
.
.

Wengine sifahamu nafasi zao.

Cc Matola
Ukisikia mbumbumbu ndio wewe, huu ndio msimamo wa ligi?

Ujinga huu ndio unawafanya vichaa mpaka kutambia utjiri wa familia ya Dewji wakati club iko joi bin taabani.
 
Mwenye pesa ni Mo Dewji na wala siyo Simba, mlivyo washamba mpaka mnajipachika eti nyinyi ndio wasemaji wa familia ya Dewji, hivi tangu lini mzaramo fukara awe msemaji wa muhindi Billionare?
Simba SC LTD ina pesa za MO + pesa zetu wanachama. Usajili unaenda kufanyika kwa pesa za MO + pesa za wanachama. Kwa kifupi Simba SC LTD ni one pocket ya MO + wanachama.
 
Ukisikia mbumbumbu ndio wewe, huu ndio msimamo wa ligi?

Ujinga huu ndio unawafanya vichaa mpaka kutambia utjiri wa familia ya Dewji wakati club iko joi bin taabani.
Weka msimamo wako.. Mbona maneno yanakua mengi?
 
Simba SC LTD ina pesa za MO + pesa zetu wanachama. Usajili unaenda kufanyika kwa pesa za MO + pesa za wanachama. Kwa kifupi Simba SC LTD ni one pocket ya MO + wanachama.
Unafahamu bank statement ya Simba ni over draft? Au unatomboka tu?
 
Usisahau ao uliwataja wote walikuwepo wakati Mbao na Nanda wanawatoa nishai.
 
Kotei hapana kabisa, Niyonzima namtakia safari njema kwasababu sioni kabisa nafasi yake pale msimbazi, Gyan huwezi kumuachia kwasababu huna uhakika kama Kapombe anaweza kumaliza msimu mzima bila majeruhi au kuwa kwenye ubora huo huo msimu mzima, Kaheza wanaweza kumtoa kwa mkopo pia kwasababu nafasi yake ni finyu sana pale msimbazi kwa sasa.
 
Usisahau ao uliwataja wote walikuwepo wakati Mbao na Nanda wanawatoa nishai.
Kama Barcelona FC ambayo 'we sail in the same boat' inafungwa, sisi ni nani??
Ila yaliyotokea Mtwara na Mwanza, kamwe hayatajirudia tena msimu huu.
 
Kama Barcelona FC ambayo 'we sail in the same boat' inafungwa, sisi ni nani??
Ila yaliyotokea Mtwara na Mwanza, kamwe hayatajirudia tena msimu huu.
Tuwe na subra.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…