Wazee wa kuilalamikia viporo kwa kutumia Msemaji wao wanajulikana. Kwa Yanga havichachiYanga bhana..
1. Mlipangiwa mechi 3 za mwanzo ugenini.. Mkalalamika
2. Mkapangiwa mechi 11 nyumbani.. Mkafurahi
3. Sasa mpo nyuma mechi 2.. Mnapiga kelele, utafikiri hamtacheza hivyo viporo vyenu
We jamaa kunihusianisha na Yanga Mimi ni kosa la jinai hizo bangi uache kuanzia Leo na uniombe radhi kwa muda wa mwaka mmoja mfululizo.Yanga bhana..
1. Mlipangiwa mechi 3 za mwanzo ugenini.. Mkalalamika
2. Mkapangiwa mechi 11 nyumbani.. Mkafurahi
3. Sasa mpo nyuma mechi 2.. Mnapiga kelele, utafikiri hamtacheza hivyo viporo vyenu
Kotei asiondokeHapo,
Haruna Niyonzima,
Nicolas Gyan
James Ketoi
inabidi walipwe chao na waondolewe Msimbazi.
Halafu yatafutwe majembe mengine matatu ya kigeni katika nafasi ya Ushambuliaji.
Yaana yatafutwe majembe ya uhakika.
Hata likipatikana kwanza Jembe moja au mawili sio mbaya.